Home News Ifahamu Namna Sahihi ya Kulala Vizuri Wakati wa Ujauzito/Know the Right Way...

Ifahamu Namna Sahihi ya Kulala Vizuri Wakati wa Ujauzito/Know the Right Way to Sleep Well During Pregnancy

MOJA ya mambo muhimu licha ya hali unayopambana nayo kama mjamzito ni ambavyo unalala hasa katika miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito. 


Unaweza kulala kwa upande wako wa kulia na kushoto lakini chali? Hapana na hata usithubutu. Kulala chali kunasababisha mshipa mkubwa wa damu uliopo tumboni mwa mama kufinywa kutokana na uzito wa mtoto na hivyo kumnyima mtoto oksijeni ya kutosha.


 Wanasayansi walifanya utafiti kuhusu hili kwa wajawazito 1,760 kutoka Uingereza, New Zealand na Australia. Madaktari wanashauri wajawazito kulala ubavu mmoja hasa upande wa kushoto, kwa sababu mjamzito anapolalia ubavu wa kushoto huongeza mzunguko wa damu kwa kiumbe kilichomo ndani yake.

 ONE of the most important things you can do during your pregnancy is the last three months of pregnancy. Can you lie on your right and left side but still? No and don’t even dare. 

 Lying on the back causes the large blood vessel in the mother’s womb to constrict due to the weight of the baby and thus deprive the baby of enough oxygen. 

Scientists conducted research on this for 1,760 pregnant women from the UK, New Zealand and Australia. Doctors advise pregnant women to sleep on one side especially on the left side, because when a pregnant woman sleeps on the left side it increases blood circulation to the organism inside it.
Previous articleNEW AUDIO|Moni Centrozone-Malume 2021|Mp3 Download
Next articleNEW VIDEO|B2K-Pesa Kidogo|MP4 Download